Jorafra Transport Agency Ltd inatangaza nafasi za kazi za uwakala wa usajili wa leseni za LATRA kwa bajaj na pikipiki katika mkoa wa Mwanza.
Sifa za Mwombaji
- Awe Mtanzania
- Awe na smartphone
- Umri kati ya miaka 18–30
- Ajue kutumia Intaneti
- Awe mwadilifu na mwenye uaminifu
Jinsi ya Kutuma Maombi
Tuma maombi yako pamoja na taarifa binafsi kupitia:
- WhatsApp: 0789 537 307
- Barua pepe: jorafratransport@protonmail.com
Mwisho wa kupokea maombi kwa awamu ya kwanza ni tarehe 20.03.2026.
Tahadhari
⚠️ Usitoe pesa kwa mtu yeyote ili kufanikishiwa kupata nafasi hii.
Kwa Maelekezo Zaidi
Piga simu: 0738 499 978
- Wote mnakaribishwa kuomba.